KILELE SIKU YA WANANCHI BENJAMIN MKAPA LEO

 Live: YANGA DAY NI MOTO - YouTube

LEO ndiyo kilele cha wiki ya wananchi 'Yanga Day' ambayo ilizinduliwa kule Zanzibar.

Katika kuhitimisha shughuli hiyo ambayo tayari hivi sasa imeanza katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, bonge moja la mechi litachezwa.

Yanga inayosukwa upya kwa ajili ya Ubingwa wa Tanzania Bara na Zanaco ya Zambia.

Katika burudani, mkongwe wa muziki barani Afrika, Koffi Olomide amekuja kufunika. Ni shoo ya kibabe, si ya kukosa leo, sasa hivi, Benjamin Mkapa.

No comments