YANGA YAWAOMBA NYOTA WAKE STARS KUIKABILI ZANACO

MABINGWA wa kihistoria nchini,
Yanga ambayo kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa inahitimisha wiki yake ya
Mwananchi, imewaomba nyota wake wote walio katika kikosi cha timu ya taifa ya
Tanzania, Taifa Stars ili waweze kuwakabili wageni wao, Zanaco.
“Tayari tumeshaongea na uongozi wa timu ya taifa ya Tanzania juu ya kuwaomba wachezaji wetu wote katika mchezo wa kilele cha siku ya Mwananchi dhidi ya Zanaco FC na tayari ombi letu limekubaliwa," alisema Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabit Kandoro.

Post a Comment