WAZIRI MKUU WA ZAMANI MALI MBARANO KWA UFISADI

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Mali,
Boubèye Maïga, amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya ndege ya
Rais miaka kadhaa iliyopita.
Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama na ndege ya Rais
ambayo ilinunuliwa kwa Dola za Marekani Milioni 40. Alikuwa Waziri Mkuu kati ya
mwaka 2017 hadi 2019 ambapo alijiuzulu kutokana na ongezeko la matukio ya
ghasia na vurugu nchini humo.

Post a Comment