MAN UNITED WAINGILIA KUMTAKA RONALDO


Ronaldo and Solskjaer were team-mates at United during the Portugal star's time at the club

WAKATI dalili zote zikionyesha kuwa mshambuliaji nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo anaelekea Etihad kwa Man City, ghafla habari zimeibuka kuwa kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer, naye anamtaka.

Ronaldo ambaye aliwahi kucheza na kocha huyo wakiwa United, ameshamweleza kocha wake wa Bibi Kizee wa Turin kuwa hataki tena kuichezea timu hiyo aliyodumu nayo kwa miaka mitatu akitokea Real Madrid.

 

No comments