WAMLILIA MAMA SAMIA UOZO RELI YA TAZARA

ABIRIA wanaotumia
Reli ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) upande wa Tanzania,
wamemlilia Rais Mama Samia Suluhu Hassan , wakimtaka kulimulika shirika hilo,
kwani linaenbdeshwa kizembe kiasi cha kuwasababishia hasara kubwa.
Abiria hao wakiwemo
wafanyabiashara, wamesema mojawapo ya mifano ya uozo huo, ni ratiba ya safasi
ya jana Ijumaa, Agosti 27, 2021 ambapo walitakiwa kusafiri saa tisa alasiri, lakini
ghafla ratiba ikabadilishwa na wao kutakiwa kuondoka saa tano usiku.

Post a Comment