VIBE KAMA LOTE KWA MKAPA, MZEE MPILI KIVUTIO

 Inaweza kuwa picha ya Watu 5

 

NI full mzuka kwa mashabiki wa Dar es Salaam Young Africans YANGA ambao wamejazana pomoni ndani ya dimba la Benjamin Mkapa hivi sasa.

Katika ile kuonyesha kjuwa wananchi wana jambo lao, shabiki na mwanachama maarufu, Mzee Mpili aliitwa na mwendesha shughuli Dakota

muda mfupi baada ya kuingia mashabiki walilipuka kwa kumshangilia.

Kabla ya kuingia uwanjani Mzee Mpili alichukua kipaza sauti na kuanza kuzungumza na Mashabiki uwanjani hapo.

“Sisi tuna watuuuu, Sisi tuna watuuu, Sisi tuna watuuu, Wananchiiii,” alisema mzee Mpili na mara baada ya kumaliza, akaachia kipaza sauti na kuanza kutrot kuuzunguka uwanja huku akiwapungia mashabiki.

 

No comments