UKIWA NA MTOTO GAIDI, HESABU MAUMIVU- IGP SIRRO

 Dailynews

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro wakati akitoa salamu za jeshi la polisi kwenye msiba wa polisi waliouawa na jamaa aliyejulikana kwa jina la Hamza, ametoa wito kwa jamii kuwa makini na watoto wao kwani kama ikitokea ukawa na mtoto gaidi na anayefanya mambo ya hovyo hovyo kama aliyokuwa anafanya Hamza andika maumivu kwani vyombo vya usalama vikimpata hatabaki salama.

No comments