TANZIA: ROBERT MANUMBA AFARIKI DUNIA
MKURUGENZI Mstaafu wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Agosti 31.
Manumba alistaafu Novemba 2013 kama DCI baada ya kufikia umri
wa kustaafu kisheria ambao ni miaka 60.
Alishika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi la Polisi tangu
mwaka 1976 alipokuwa Chumba cha Kupokea Mashtaka.
Chanzo. JamiiForum

Post a Comment