GWAJIMA KUSHIRIKI MJADALA WA COVID KIMATAIFA LEO

ASKOFU Josephat Gwajima ambaye hivi
karibuni aliingia matatani na Bunge juu ya chanjo ya Covid 19, leo atashiriki
mjadala wa kimataifa unaohusu chanjo ya ugonjwa huo kupitia mitandao ya
kijamii.
Alitoa taarifa hiyo juzi Jumapili
wakati akihubiri kanisani kwake.
Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na
Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.

Post a Comment