SPIKA NDUGAI AOMBA RADHI WAKRISTO KWA KAULI POTOFU

SPIKA wa Bunge, Job
Ndugai amewaomba radhi wakristo kote nchini, kufuatia kauli yake potofu ambayo
alisema ni makosa ya kibinadamu.
Awali, Ndugai
alisema Yesu alitembea pamoja na mkewe kuelekea Nazareti, lakini katika maelezo
yake, alisema alimaanisha Yusufu na si Yesu.


Post a Comment