SAMATTA KUIKOSA MECHI YA EUROPA LEO


Inaweza kuwa picha ya Watu 2, nje na maandishi yanayosema 'AVIS NESINE COM AZ AYGA1' 

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, Mbwana Samatta leo anatarajia kuukosa mchezo wa kufuzu Ligi ya Europa dhidi ya HJK kutokana na klabu yake kutojumuisha jina lake katika usajili wa awali wa michuano ya Europa. Fenerbahce inakabiliwa na changamoto ya kubanwa na kanuni za FFP

No comments