P DIDDY NA BINTIZE

MKONGWE wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean John
maarufu kama P Diddy, amewapeleka mabinti zake katika event ya siku tatu ya
Dolce and Gabanna.
Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa
kwa mapacha na mama yake ni mwingine.
Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie
James miaka 14.

Post a Comment