BURNA BOY AIJAZA 02 ARENA LONDON

STAA wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy ambaye anasimamiwa
kazi zake na mkongwe P Diddy wa Marekani, amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2
Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift.
O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy
ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia
niliyotaka, sijaongea sana, nimefanya vitendo tu".
-
Burna Boy alikuwa onstage na wasanii Rema na Omah lay

Post a Comment