OLE SABAYA KUSOMEWA KESI MPYA LEO

 Dailynews

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo atapandishwa kizimbani na kusomewa kesi mpya ya Uhujumu Uchumi akiwa na wenzake Sita

Atasomewa mashtaka hayo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.

Kesi ya awali ambayo ni ya unyang'anyi na wizi wa kutumia silaha imemalizika kusikilizwa na kusubiri hukumu ambayo itatolewa Oktoba Mosi mwaka huu.

 

No comments