MWAKALKEBELA, MATOLA WAKUTANA EAPOTI MOROCCO, KUKWEA PIPA MOJA

SOKA siyo uadui. Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela akiwa na Kocha Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Mohammed V jijini Rabat Morocco. Viongozi hao kila mmoja yupo na msafara wa wachezaji waliosalia baada ya wenginbe kutanguklia nyumbani

Post a Comment