KOFFI OLOMIDE ATUA KWA WIKI YA WANANCHI KESHO

 Olomide apologises for assault ahead of return

MKONGWE wa muziki barani Afrika, Koffi Olomide, raia wa DRC Kongo anayeishi Ulaya, amewasili Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujumuika na 'wananchi' kesho katika dimba la Benjamin Mkapa.

Koffi ataongoza wasanii waalikwa katika kutoa burudani katika hitimisho la wiki nzima la shughuli hiyo inayofanyika kila mwaka kwa ajili ya tamasha kubwa la klabu bingwa ya kihistoria nchini, Yanga.

No comments