MKUU WA MKOA KUANZA ZIARA DAR JUMATATU
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ataanza ziara ya kusikiliza kero za wananchi katika mkoa wake ifikapo Jumatatu. Katika ziara fupi leo hii katika baadhi ya vituo vya televisheni na redio, alisema lengo lake ni kutaka kujua kero za wanbanchi wake ili aweze kuzipatia uvumbuzi na kjwa kuanzia, ataanza na wilaya ya Kinondoni ambayo ina kero kubwa ya ardhi.

Post a Comment