ARSENAL WACHAPWA BAO 5-0 NA MAN CITY

HALI ni mbaya kwa
vijana wa Emirates walio chini ya kocha Mikel Arteta kwani katika mchezo wa leo
dhidi ya mabingwa watetezi Man City, wamebugizwa mabao 5-0 na hivyo kuweka
matatani kibarua cha mwalimu huyo raia wa Hispania, ambaye pia alikuwa nahodha
wa kikosi hicho enzi za Arsene Wenger.,

Post a Comment