HAMZA MOHAMED HASSAN KUZIKWA LEO

 Tanzanian gunman was 'calm, hardworking', shocked neighbours say - The East  African

KIJANA Hamza Mohammed Hassan, aliyeua askari polisi wanne kwa risasi mapema wiki hii, anazikwa leo.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, mwili wa kijana huyo mfanyabiashara wa madini ulichukuliwa na ndugu zake kutoka Polisi ulikokuwa ukifanyiwa uchunguzi.

No comments