GOLIKIPA WA WAPINZANI AMPA MESSI MWANAE APIGE NAYE PICHA

 The goalkeeper took the photo after approaching the forward at the end of the Ligue 1 match

JANA ilikuwa ndiyo mechi ya kwanza kwa Lionel Messi akiwa na timu yake mpya ya PSG katika mchezo ambao alicheza kwa dakika 24 tu. Lakini hata hivyo, licha ya PSG kucheza na Reims, mashabiki wa timu hiyo ya upinzani walimshangilia sana staa huyo wa Argentina.

Baada ya mpira kumalizika, mlinda mlango wa Reims, Predrag Rajkovic alimpa Messi mwanae na kisha akatumia simu yake kuwapiga picha.

No comments