NDEGE YA MAREKANI ILIYOWAUA WALIOLIPUA KABUL, PIA ILIUA WATOTO WATATU

ZIPO taarifa kwamba
ndege isiyo na rubani ya Marekani, ambayo iliwaua watuhumiwa wawili
wanaodhaniwa kupanga shambulizi la kujitoa muhanga katika uwanja wa ndege wa
Kabul, huko Afghanistan, pia iliwaua watoto watatu waliokuwa jirani pamoja na
kufanya uharibiwa mkubwa wa mali.

Post a Comment