CRISTIANO RONALDO ATUMIA DAKIKA 40 KUAGA JUVE

 Cristiano Ronaldo arrived at the Juventus training ground for a decisive day of talks (above)

Ronaldo akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Juventus leo asubuhi

NYOTA raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameripotiwa kutumia dakika 40 kufika ofisi ya Juventus na baadaye kwenda katika uwanja wa mazoezi kuwaaga wachezaji wenzake.

Ronaldo ameshamalizana na kocha wa mabingwa wa England, Man City, Pep Gardiola na sasa atakwenda kuwatumia miamba hao ambao ni wapinzani wakubwa wa timu yake ya zamani ya Manchester United.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 36 sasa, alikwenda mazoezini kuwaaga wenzake leo Ijumaa asubuhi.

No comments