ATC IKO MAHUTUTI, INAKARIBIA KUFA -PAC

KAMATI ya
fedha ya Bunge imesemna Shirika la ndege Tanzania, ATC liko mahututi na
linakaribia kufa kutokana na madeni.
Makamun
Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Bunge, Japhet Hasunga, ametoa tamko rasmi
kwamba shirika la ndege la Tanzania ATCL liko mahututi na litakufa hivi
karibuni.
"Ukichukua
madeni yote ya ATCL, yanayofikia 472.8bln/-, na mtaji wa mali za shirika ambazo
ni 256.2bln, na ukatoa thamani ya madeni toka madeni toka mtaji, wanabaki na
mtaji ambao ni deni wa 216.6bln, hii ni dalili kwamba ATCL iko mahututi na
itakufa hivi karibuni"

Post a Comment