WANAUME HUPENDA ZAIDI WANAWAKE MAPEPE

 

MALAYA wanaojiuza usiku sinza hawa hapa/kwa siku laki na nusu/NDUGU  SIOGOPI/UkIMWI SIOGOPI - YouTube

HILI ni somo la saikolojia, halihitaji nguvu nyingi kulielewa na tena ipo mifano mingi ambayo wewe mwenyewe msomaji, uwe mdada au mkaka ni shahidi namba moja.

Mitaani huku tunakopitapita na kukaa vijiweni tukiongea, siku zote tunawashutumu sana wanawake na wasichana mapepe, ambao hawajatulia, kwamba hawafai kuwa nao kiuhusiano eti wenyewe tunakoleza na kimombo kuwa siyo wife material!

Lakini ukweli wa mambo ni kuwa wanawake mapepe, ambao hawajatulia, maharage ya mbeya maji mara moja, ndiyo kipenzi na kimbilio la wanaume wengi.

Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe!

Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini!
Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa! 
Mfumo wa matamanio kwa mwanaume umekaa kama haja! Ukibanwa sharti ujisaidie hata porini almradi tu haja itoke!
Hivyo pori litakalokustili leo ukajisaidia haja hata ukiambiwa lina miiba wewe hujali sana, cha muhimu unawaza ukibanwa litakustili fasta!
Ndivyo ilivyo kwa mwanamke mapepe alivyo na thaman kubwa kwa mwanaume!
Mwanamke mapepe anatambuliwa na ubongo wa mwanaume kama LULU inayostarehesha!
Hivyo ni rahisi sana mwanamke mapepe kuolewa kuliko huyo anayebana bana kutoa penzi!
Mwanamke hata awe katoka guest muda huo, akipita kwa mwanaume rijali huonekana ana faida kwa matumizi ya baadaye, hivyo ni asset!.
Kama hauamini ebu tafakari! ni wanawake au wasichana wangapi unaodhani ni mapepe ambao wameolewa huku tabia zao zikifahamika wazi!

Tena wengine hata ndoa 5 zote wanaolewa na matarumbeta, lakini mrembo aliyetulia tabia akizeekea nyumbani kwao!
Halafu kibaya zaidi wanawake wengi waliotulia, wakiamua kutoka, hujikuta wakipata ujauzito mapema na kujikuta wakitelekezwa kwa sababu hawajui mbinu za kukwepesha mimba, hawawezi kutoa mimba,, hawana mbinu za kumfanya mwanaume 'asimwage' ndani siku za hatari.

Hili linapelekea mbinu pekee ya kuepuka hayo wao HUZINGUA KUFANYA MAPENZI (umalaya) KWA KUSUBIRI NDOA na kuhesabika ni wasumbufu, wasioelewa, wabishi na katili.
Kwa hiyo nathibitisha kwenu leo, wanaume hupenda zaidi mwanamke mapepe kuliko watulivu!
Ewe mwanamke kama unataka ndoa chap, Jichetue, kuwa mwepesi kuelewa, shiriki mapenzi mara nyingi, omba pesa mara chache. Kila mmoja atavutiwa
 

Temebelea vijiwe vya wanawake wanaojiuza. Hapa Dar nenda Kona Bar Sinza, Mremi Bar Buguruni, Kimboka Bar Buguruni, Manzese na maeneo yote, utakuta wanaume kibao wanawanyemelea.

Mwanamke mmoja anaweza kuwavutia hata wanaume watatu na wote wakawa tayari kusubiriana, mmoja amalize mwingine anafuata.

Na kuwa wanawake wengi waliokuwa wakijiuza leo hii ni wake wa watu na wametulia katika ndoa zao.

No comments