TETESI USIKU WA LEO MITANDAONI, MKUU WA MKOA AKAMATWA


Sabaya afikishwa Mahakamani Arusha – Millardayo.com

HUWEZI kukwepa tetesi za mitandaoni. Kama siyo kweli, basi wana lao jambo wanalitafuta. Ikiwa ni saa sita kamili usiku wa leo, mtu maarufu kwa exclusive mitandaoni amepost kwamba yule Mkuu wa mkoa ambaye anaombewa sana njaa, yupo mikononi mwa vyombo vya dola.

Kwamba amekamatwa akihusishwa na makosa kadhaa ya uhalifu, utekaji, vitisho na kupora fedha za wafanyabiashara. Ojuku Blog haina details, tusubiri tuone!

No comments