SIKIA TAMBO ZA JOSEPH MBILINYI 2PROUD A.K.A SUGU

HAPANA shaka kwamba Joseph Mbilinyi ndiye staa wa kwanza wa Hip Hop Tanzania, kwani tangu achomoze mwishoni mwa miaka ya 1990, heshima yake haijashuka hadi leo.
Katika mitandao
mbalimbali ya kijamii, leo zimepostiwa picha zake akiwa na wakali wenzie enzi
hizo, Mike Mnyalu 'Mike T' na Balozi Dola Soul.
Lakini Sugu
hakuacha tabia zake za kihp hop, za matambo juu ya matambo. Msikie
akiizungumzia picha hiyo ya mwanzoni mwa miaka ile ya 2000.
"Angalia
katika vidole vyangu, angalia shingoni na ile saa niliyovaa mkononi. Na bado
nje nimepaki ndinga."

Post a Comment