RELI YA SGR MORO- DAR ASILIMIA 91

 

Dailynews

GERSON Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali, amesema ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme, kati ya Dar es Salaam na Morogoro, imefikia kiasi cha asilimia 91, sawa na kusema bado hatua tisa tu watu waanze kuishi mji kasoro bahari, wakifanya kazi bandari salama.

Alisema hayo leo jijini Dodoma, wakati akitoa mwelekeo wa serikali katika kuimarisha na kutekeleza miradi yote mikubwa na midogo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments