KILIO CHA UHALIFU CHATANDA NCHI NZIMA, MAMA UNAKISIKIA?
YEAH, ujambazi, uporaji, vibaka, wizi wa majumbani umerejea kwa kasi. Ni kilio kila mkoa, wilaya, vijiji na majumbani.
Wananchi wanapiga
kelele ili mama yao asikie, hali ya uhalifu imerejea kwa kasi, inakuaje maana
polisi ni walewale wa wakati ule, sheria ni zilezile, imekuaje leo?
MAMA SAMIA SULUHU
HASSAN, acha kulegeza sauti, KEMEA

Post a Comment