HUKUMU YA JONAS MKUDE WA SIMBA NI KESHOKUTWA JUMATATU

MWENYEKITI wa Kamati ya Nidhamu ya Simba, Kamanda Mstaafu wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Afande Suleiman Kova, amesema ishu ya kiungo mkabaji wa klabu hiyo, Jonas Mkude 'Nungunungu' itatolewa keshokutwa Jumatatu.
Afande Kova
amethibitisha kuwa wamekutana na kiungo huyo na ametoa maelezo yake.

Post a Comment