ZIZZOU APISHANA NA DAVID ALABA REAL MADRID


Bayern Munich's David Alaba agrees to join Real Madrid in the summer -  reports - Eurosport

HUKU Kocha Zinedine Zidane 'Zizzou; akitangaza kuondoka Real Madrid kwa mara ya pili, klabu hiyo bingwa wa kihistoria wa Champions League, imemtangaza mchezaji David Alaba kutoka Bayern Munich alikodumu kwa muda mrefu tokea akiwa kinda wa miaka 16.


Mitandao ya kijamii ya Real Madrid imeripoti kuwa mchezaji huyo amesaini kandarasi ya miaka mitano.

David awali hakutegemewa kupewa mkataba mrefu zaidi kutokana na umri wake na majeraha yanayomsumbua mara kadhaa.

No comments