WATANI SASA DIMBANI JULAI 3 KWA MKAPA

MCHEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara
ulioahirishwa katika mazingira ya kutatanisha Mei 8 mwaka huu, sasa utapigwa
Julai 3 ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu
Tanzania Bara, mchezo huo ambao umeshaahirishwa mara mbili huko nyuma, utapigwa
saa 11 jioni, kama ambavyo ilikuwa imepangwa awali katika mchezo wa Mei 8,
2021.

Post a Comment