VILLARREAL MABINGWA EUROPA LEAGUE


Edinson Cavani will return to help Manchester United at the perfect time -  United In Focus

 TIMU ya Villarreal ya nchini Hispania imeibuka mabingwa wa michuano ya Europa League baada ya kuwafunga miamba toka England, Manchester United.

Katika mchezo huo wa fainali, wawili hao walitoka sare ya bao moja kwa moja katika muda wa kawaida, Moreno akiifungia Villarreal katika dakika ya 29, kabla ya Cavani kusawazisha dakika ya 55.

Katika mikwaju ya penati, Villarreal ilishinda 11 na Man United 10.

Hili ndilo Kombe lao Kubwa la kwanza kuwahi kutwaa katika historia ya klabu hiyo.

 

No comments