TRIPPLE C WA SIMBA AFIWA NA MKEWE ZAMBIA

KIUNGO mchezeshaji na Master
Mind wa Klabu ya Simba Clatus Chota Chama amefiwa na mkewe huko kwao Zambia.
Chama hakuwepo leo wakati timu yake ya Simba, ambayo ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, walipopata ushindi wa nguvu nyingi za kiufundi dhidi ya Namungo Fc kule Luhangwa.
Tripple C alilazimika kusafiri
kuelekea Zambia ili kushiriki kumzika mwenza wake.
Taarifa zaidi za ushiriki wa Simba
katika msiba huo zitatolewa

Post a Comment