CEO TIDO MHANDO AIPIGA MKWARA TFF: HATUTAKI TENA RATIBA YA LIGI IINGILIWE


The Citizen Tanzania on Twitter: "Kisutu Resident Magistrate's Court  acquits former national broadcaster DG Tido Mhando after finding him not  guilty of causing govt a Sh887 mil loss #TheCitizenToday…  https://t.co/sNAalqYyC4"




 

BAADA ya Azam Media kumwaga mpunga mrefu wa shilingi bilioni 225 kwa udhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa miaka kumi,

Afisa mtendaji mkuu wa Azam Media LTD Tido Mhando amesema udhamini waliouweka wa Bil 225.6 kudhamini ligi kuu Tanzania bara Moja ya masharti yake Makubwa ni pamoja na kutotaka ratiba ya ligi hiyo kuathiriwa na mambo ya kisiasa kama ratiba kuvurugika badala yake mpira uachwe uchezwe kwa kuzingatia kanuni zinasimamia Maswala ya Soka Nchini.

 

No comments