SIYO DILUNGA, NI MUDATHIRI YAHYA WA AZAM


Hassan Dilunga ,Afunguka Kuondoka Simba - YouTube

SHIRIKISHO la Soka Nchini, TFF limesema kiungo wa Klabu ya Simba, Hassan Dilunga ameandikwa kimakosa katika kikosi cha timu ya taifa kilichoitwa siku ya leo kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi.
TFF imesema Dilunga hajaitwa na aliyeitwa ni Mudathiri Yahya wa Azam FC.

No comments