SIMBA QUEENS MABINGWA TENA LIGI KUU WANAWAKE

 Dailynews

TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu ya wanawake Msimu huu (Serengeti Lite Women's Premier league 2020/2021) ikiwa ni mara ya pili mfululizo.

Hiyo ni kufuatia mechi yao ya leo ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Baobab Queens.

No comments