BARCA NDO BASI TENA LA LIGA

BARCELONA ya
Hispania, imejiondoa katika kuwania ubingwa wa La Liga msimu huu baada ya
kukubali kipigo chA BAO 2-1 mbele ya Celta Vigo.
Matokeo hayo
yanaziacha timu mbili za Madrid, Real na Atletico kusubiri matokeo ya mechi zao
za mwisho kumpata mfalme mpya wa ligi hiyo ya Hispania

Post a Comment