SHABIKI ALIYEWEKA HISTORIA UCL

MWAKA 2001, Man United ikiwa ya moto, ilicheza na Bayern Munich katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Matokeo wala
hayakuwahi kuwa gumzo, bali gumzo kubwa lilikuwa ni ubunifu wa shabiki mmoja wa
Man United, ambaye alivaa sare sawa na mabingwa hao wa England, kisha
akajipenyeza na kuingia uwanjani kuungana na wachezaji.
Akafanikiwa kupiga
nao picha ya pamoja kabla ya mchezo.

Post a Comment