NI SIMBA VS KAIZER CHIEFS

 Simba SC vs Al Merrikh: TV channel, live stream, team news and preview |  Goal.com


Droo ya mechi za michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, hatua ya robo fainali imetolewa jana huku mabingwa wa Tanzania, Simba wakipangwa kukipiga na miamba wa Afrika Kusini, Kaizer Chiefs.

Mchezo wa kwanza wa robo fainali hiyo utapigwa ugenini huko kwa Madiba kati ya Mei 14 au 15 na ule wa marejeano, utafanyika 'machinjioni' Benjamin Mkapa Stadium jijini Dar es Salaam.

No comments