POLEPOLE OUT, DANIEL CHONGOLO KATIBU MKUU CCM

 Humphrey Polepole on Twitter: "Saa 9 Kamili Alasiri leo nitaongea na  Wanahabari katika Uwanja wa Uhuru. Wote Mnakaribishwa. #Uhurukunajambo… "

 

HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao Maalum kilichoketi  leo mara tu baada ya Mkutano Mkuu wa chama hicho chini ya Uenyekiti wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kimeridhia mapendekezo yaliyotolewa na Mwenyekiti kujaza nafasi kadhaa na kufanya mabadiliko katika Sekretariati kuu ya CCM.

Safu mpya ya Sekretarieti ya CCM

KATIBU MKUU- Daniel Chongolo (Aliyekuwa DC Kinondoni)

KATIBU ITIKADI NA UENEZI - Shaka Hamdu Shaka

KATIBU UCHUMI/FEDHA - Frank George Hawasi

KATIBU SIASA/UHUSIANO KIMATAIFA- Ngebela Lubinga

KATIBU OGANAIZESHENI- Mama Maurdin Kastiko

NAIBU KATIBU MKUU BARA - Christina Mndeme (Aliyekuwa RC Ruvuma)

NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Abdallah Juma Sadala Mabodi 

No comments