MWAKINYO AMPIGA MUANGOLA KWA TKO


MWAKINYO AMPIGA MUANGOLA KWA KO NA KUTWAA TAJI LA WBC - BIN ZUBEIRY SPORTS  - ONLINE

NYOTA ya mwanamasumbwi wa Tanzania, Hassan Mwakinyo bado inang'aa kwani katika ukumbi wa Next Door Arena jana, alimpiga kwa TKO mpinzani wake raia wa Angola kwenye raundi ya tisa.

Bondia Antonio Mayala alilazimika kusalimu amri katika raundi hiyo na hivyo kumpa Mwakinyo mkanda wa Super Welter unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Afrika (ABU).

No comments