DIAMOND, FLAVOUR WAINGIA TENA STUDIO

IKIWA ni dalili za wakali hao wa muziki barani Afrika kutengeneza ngoma yao ya tatu, Diamond Platnumz na Mr Flavour wa Nigeria wameonekana wakiwa studio sambamba na prodyuza nyota nchini Nigeria, Masterkraft.
Wawili hao wameshafanya nyimbo mbili
za pamoja ambazo zimefanya vizuri sokoni ambazo ni Nana, ya Diamond na ile ya
Time To Party ya Flavour.

Post a Comment