MSIKILIZE MOHAMMED GHULAM DEWJI 'MO'

TOKA nikiwa kijana, nilikuwa na ndoto ya kuwa mjasiriamali.
Ushauri wangu kwa wajasiriamali vijana:
Safari ya ujasiriamali imejaa vikwazo, matuta na kona nyingi.
Unahitaji kuwa na nidhamu, ustahamilivu na zaidi ni Adabu, kadri unavyosonga
mbele. Kutumia njia za mikato hazitokusaidia kufahamu au kufikia malengo
kistahiki.

Post a Comment