MSIKIE THE ONE AND ONLY RAPPER CHID BENZ
THE one and only rapper wa Bongo
kushika chat kubwa katika soko, then soon kuporomoka to the botton, The La
Familia Boss, Chid Benz bado ni mbishi sana.
Okay, mashabiki wanasema yeye
anabwia unga so hawamuhesabu, lakini listen to him:
'So Now hakuna Tuzo Tanzania..?? Na
wasanii ni watatu tu au wawili koz sitaki kusema mmoja. Na watu wengi hawaskiki
na wamepotea ila Chidi Beenz haskiki sababu anavuta madawa ambayo sijajua nani
anamnunulia kama hana pesa wala Biashara yoyote anayofanya.
"Hana kitu kwa kifupi. Nataka
kujua wengine woooote Ambao hawaskiki out of WASANII HAWA WATATU WALIOPO NOW
pia wanahusishwa na Madawa au Wameacha tu kufanya Waskike na waonekane. Na watu
bado wanachangia kusema Teja Teja kwa sababu mtu unakonda.?
"But Hawashtuki Kuna Wasanii
wa3 tuu walioamka na wana Maendeleo. Kama kuamka ni Huko mi ngoja niendelee
Kulala. I miss my Dad and i love my Mum. Na Salaam ziende kwa wazazi wote wa
wasanii wenzangu ambao pia WAMECHANGANYIKIWA na Maendeleo ya Watoto wao. Na
Waliotangulia Chini kwa sababu ya Kuchanganyikiwa huko na zaidi kuona Wazazi wa
hao kuwa Mastaa bila Singo. Usiku Mwema'' @official_chidibeenz.

Post a Comment