MNAOPENDA KUTOBOA FASTA SOMENI HII


What is methamphetamine? | National Institute on Drug Abuse (NIDA)

KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 23, raia wa Nigeria amehukumiwa kifo baada ya kukutwa na shehena ya madawa ya kulevya nchini Vietinam akidaiwa kuisafirisha kutoka Cambodia kiasi cha kilo 5.

Ugwu ambaye alikwenda nchini Vietnam kwa lengo la kucheza soka, anadaiwa kuwa alilipwa ujira wa dola elfu moja ambayo ni sawa na pesa ya madafu milioni mbili na ushee kusafirisha dawa hizo aina ya methamphetamine.


Methamphetamine ambazo huingizwa kwenye nchi mbalimbali kwa vibali maalum ni dawa ambazo hutumika kusisimua mfumo wa fahamu na kwa upande mwingine hutumika kama dawa za kulevya.

 

No comments