MARAIS WA MANZESE WADAIWA KUPATA AJALI

 

Mwanamuziki Ney wa Mitego akamatwa Tanzania - BBC News Swahili

WASANII wawili wakubwa wa muziki wa kizazi kipya ambao kwa nyakati tofauti hujinadi kuwa ni Marais wa Kitongoji cha Manzese jijini Dar es Salaam, Ney wa Mitego na Madee, wanadaiwa kupata ajali usiku wa jana.

Awali ilidaiwa kuwa Ney alipata ajali akiwa na bodaboda na baadaye zikaja zingine zikidai naye Madee amepata ajali.

Haijafahamika bado ukweli wa habari hizo na Ojuku blog inafuatilia kwa karibu ili kujua kama ni kweli au kiki za kimuziki.

No comments