MANGWEHA KABURINI MIAKA NANE SASA


MACMEDIANEWS: MAAJABU;PADRI ATOA TUNGULI KABURI LA NGWEHA

LEO imetimia miaka nane kamili tangu kifo cha mwamba Albert Mangweha maarufu zaidi kama Ngwea, msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya Tanzania.

Ngwea alifariki kwa kile kinachodaiwa matumizi makubwa ya madawa ya kulevya, akiwa nchini Afrika Kusini na baadaye kuzikwa nyumbani kwao mkoani Morogoro.

Katika uhai wake, msanii huyo alijipambanua kuwa bora kwa namna ya uandishi wa mashairi yake, pia alikuwa mtaalam wa freestyle na akiwa na hit songs nyingi ambazo hadi leo zinaweza kuwainua watu vitini.

No comments