MAMA SAMIA AENDA KUMPA HI BI MKUBWA, MAMA MARIA NYERERE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, amekwenda kumpa Hi Mama Mjane wa Baba wa Taifa, Maria Nyerere.
Katika picha
iliyorushwa mitandoini, wawili hao wameonekana wakiwa katika nyuso za furaha kama
mama na mwana.
Picha kwa hisani ya
Idda Mushi

Post a Comment