MAHAKAMA KUU YASEMA TEUZI ZA RAIS KENYATTA ZILIKIUKA KATIBA

MAHAKAMA Kuu Nchini Kenya imesema
uteuzi wa viongozi 128 wa Mashirika ya Umma uliofanywa na Rais Uhuru Kenyatta
mwaka 2018 ulikiuka Katiba.
Imeelezwa, teuzi za Rais Kenyatta zilizohusisha watu
waliokuwa watumishi wa Serikali zilifanywa kwa namna ambayo haikuwa wazi hivyo
hazifai.
Mahakama imesema Wakenya walitaka teuzi kuwa wazi na za Haki, huku zikizingatia
watu kutoka Jamii mbalimbali pamoja na wale wenye Ulemavu.

Post a Comment