LIGI KUU ENGLAND YAMALIZIKA, CITY KILELENI


Aguero close to Barcelona deal, reveals Guardiola | Goal.com

LIGI Kuu ya soka nchini England imefikia kilele chake rasmi jana, huku Manchester City chini ya kocha Pep Gadiola ikitwaa ubingwa.

Kwa maana hiyo, timu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya msimu ujao kutoka England ni mabingwa City, Manchester United, Liverpool na Chelsea.

Katika michuano ya Europa Ligi msimu ujao watakuwa ni Leicester City na West Ham United

wakati Tottenham Hotspurs watacheza Europa Conference.

Washika mitutu wa London, Arsenal kwa mara ya kwanza baada ya miaka zaidi ya 20 ya ushiriki wa michuano ya Ulaya, msimu ujao watakuwa watazamaji.

No comments